Rais Joe Biden atumia siku nzima Alhamisi kusaini amri kadhaa za kiutendaji kushughulikia jinsi ya kukabiliana na janga la Corona.
- Uingereza imewazuia wasafiri kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Tanzania kuingia nchini humo.
- Jamhuri ya Afrika ya Kati yatangaza hali ya dharura.