Baraza la Seneti Marekani kuamua hatma ya mswaada wa kutoa dola 2,000 kwa kila raia wa Marekani ili kuwasaidia kukabiliana na athari za kiuchumi kutokana na janga la virusi vya corona.
-Aina mpya ya virusi vya corona yaendelea kusambaa katika nchi kadhaa huku maambukizi yakiongezeka Uingereza.