Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Februari 02, 2023 Local time: 02:14

Virusi vipya vya corona vyazusha wasi wasi duniani


Virusi vipya vya corona vyazusha wasi wasi duniani
please wait

No media source currently available

0:00 0:30:00 0:00

Kugunduliwa kwa aina mpya ya virusi vya corona kunazusha taharuki na wasi wasi kote duniani na kusitisha usafiri kuelekea na kutoka Uingereza na Afrika Kusini.

Maelfu ya abria wamekwama kutokana na kusitishwa ghafla usafiri kuingia na kutoka Uingererza na Afrika KUsini baada ya mataifa ya dunia kuchukua hatua kujaribu kuzuia kusamba kwa virus hivyo.

Facebook Forum

XS
SM
MD
LG