Trevor Noah atajwa kuongoza tamsha la tuzo za Grammy 2021
Mchekeshaji maarufu wa televisheni hapa Marekani kwenye kipindi cha Daily Show, na mwenye asili ya Afrika kusini Trevor Noah ametajwa ataongoza tamsha la tuzo za Grammy la mwaka ujao wa 2021. Mapema mwaka huu. Noah alikuwa ameteuliwa kupokea tuzo yake ya kwanza ya Grammy kwenye kitengo cha album bora zaidi ya comedy lakini kwa bahati mbaya akabwagwa na Dave Chappelle.
Matukio
-
Januari 21, 2025Cameron Diaz na Jamie Foxx washirikiana katika filamu Back in Action
-
Desemba 27, 2024Filam ya Mufasa yatamba katika mauzo kwenye ufunguzi
-
Desemba 10, 2024ZULIA JEKUNDU: Mpiga gitaa Jimi Hendrix akumbukwa
-
Desemba 03, 2024ZULIA JEKUNDU: Diddy anyimwa tena dhamana