Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Januari 30, 2023 Local time: 18:18

Chimamanda Ngozi Adichie apokea tuzo ya Mshindi wa Washindi miongoni mwa wanawake.


Chimamanda Ngozi Adichie apokea tuzo ya Mshindi wa Washindi miongoni mwa wanawake.
please wait

No media source currently available

0:00 0:15:02 0:00

Kwanza kabisa tuanze na habari za fasihi ambapo mwandishi maarufu wa vitabu kutoka Nigeria Chimamanda Ngozi Adichie, ambaye kitabu chake cha Half of a Yellow Sun kilishinda tuzo bora zaidi ya utunzi kwa wanawake mwaka 2007 sasa tena ameteuliwa kupokea tuzo ya Mshindi wa Washindi miongoni mwa wanawake.

XS
SM
MD
LG