Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Aprili 25, 2024 Local time: 16:51

Miongoni mwa wasanii waunga mkono na maandamano ya SARS


Miongoni mwa wasanii waunga mkono na maandamano ya SARS
please wait

No media source currently available

0:00 0:15:03 0:00

Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari ametangaza kuwa idara maalum ya polisi maarufu kama SARS ingevunjwa. Tangazo hilo ni kufuatia siku kadhaa za maandamano kote nchini yakilalamikia ukandamizaji kutoka idara hiyo iliobuniwa 1992 kwa lengo la kukabiliana na wizi wa mabavu miongoni mwa maovu mengine. Basi wasanii na watu amshuhuri hawajabaki nyuma kwenye juhudi za kushinikiza kuondolewa kwa idara hiyo pamoja na kuitisha haki kwa waliotendewa ukatili. Miongoni mwa walio jitokeza kuunga mkono maandamano hayo ni Burna Boy, Davido, WizKid na FireBoy DML.

XS
SM
MD
LG