Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Juni 14, 2021 Local time: 00:42

Kiongozi wa upinzani Burundi kuwasilisha mashtaka mahakamani


Kiongozi wa upinzani Burundi kuwasilisha mashtaka mahakamani
please wait

No media source currently available

0:00 0:06:59 0:00

Agathon Rwasa, kiongozi wa chama cha upinzani cha CNL anapinga matokeo ya uchaguzi yaliyotangazwa na tume ya taifa ya uchaguzi yanayompatia ushindi Evariste Ndayishimiye wa chama cha CNDD-FDD.

Tume ya uchaguzi ya Burundi, imemtangaza Jenerali wa zamanı Ndayishimiye kuwa mshindi wa uchaguzi huo baada ya kupata asilimia 68.72 ya kura, .
XS
SM
MD
LG