Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Novemba 27, 2022 Local time: 10:46

Makamu rais wa Burundi Gaston Sindimwo azungumzia uchaguzi mkuu


Makamu rais wa Burundi Gaston Sindimwo azungumzia uchaguzi mkuu
please wait

No media source currently available

0:00 0:06:24 0:00

Makamu wa kwanza wa rais wa Burundi Gaston Sindimo anasema uchaguzi unafanyika kwa amani na usalama lakini kuna kasoro nyingi juu ya utaratibu wa upigaji kura. Anasema ni vigumu kuamua ikiwa matokeo yatakua halali bila ya wawakilishi wa vyama kuwepo katika kuhesabu kura.

XS
SM
MD
LG