Changamoto za kuminywa uhuru wa vyombo vya habari na wanahabari wenyewe zinarpotiwa kuendelea kuongezeka nchini Tanzania. Huku vitendo vya waandishi habari kunyanyaswa na vyombo vya dola vinaripotiwa kuongezeka wakati nchi hiyo iko nafasi ya 124 katika orodha ya uhuru wa habari dunaini.
Matukio
-
Februari 19, 2025
Kenya yalaumiwa kwa kuruhusu RSF kukutana Nairobi
-
Novemba 25, 2024
REPORT SIKU 16 ZA KUZUIA UKATILI WA KIJINSIA.mp3
-
Mei 28, 2024
Biden na Trump watafuta kura za wanawake
-
Mei 01, 2024
Rwanda yaunda mkakati mpya wa ajira kwa vijana
-
Februari 05, 2024
Ziara ya rais wa Poland nchini Kenya kuimarisha ushirikiano