Wabunge wa chama cha democrat katika baraza la wawakilishi wameanza vikao vya hadhara uchunguzi dhidi ya rais Donald Trump vyaanza rasmi. Na makampuni 60 yanayoorodheshwa katika soko la hisa la Nairobi umeonyesha kuwa idadi ya wanawake wanaoshikilia nyadhifa za juu imeongezeka
Facebook Forum