Washington Bureau
Wajumbe wa Marekani wamerudi kazini baada ya likizo na kuanza moja kwa moja uchunguzi wa kumfungulia mashtaka Rais Trump kuhusina na kadhi ya Ukraine. Andrew Yang, ni mgombea wa urais wa mwaka 2020 mwenye asili ya Asia. Yang ni mgombea wa kwanza wa namna yake kuwa na mvuto mkubwa na kupata nafasi.
Facebook Forum