Duniani Leo October 8, 2019
Rais wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo Felix Tshisekedi, ametangaza kwamba yupo tayari kufanya kila linalowezekana kuhakikisha kwamba amani inarejea DRC. Na Idadi kubwa ya watu wanaoishi Turkana, Kenya, wanakumbwa na uhaba mkubwa wa chakula kutokana na hali ya kiangazi na kukosekana kwa mvua.
Matukio
-
Februari 06, 2023
Marekani: Rais Biden atatoa Hotuba ya Hali ya Kitaifa 2023
-
Januari 07, 2023
DRC: Waasi wa M23 wamekubali kuondoka Rumangabo
Facebook Forum