Duniani Leo October 1, 2019
China imeadhimisha miaka 70 ya utawala wa kikomunisti kwa kufanya maonyesho makubwa ya silaha zake na uwezo wa jeshi mjini Beijing.Tuelekee Hong Kong ambapo waandamanaji wamekabiliana na polisi, wakiwarushia vitu na mabomu ya petrol, huku polisi wakitumia maji ya rangi ya samawati kuwatawanya.