No media source currently available
Vyama vya upinzani nchini Uingereza vinamtaka waziri mkuu Boris Johnson kujiuzulu kufuatia uwamuzi wa mahakama kuu kwamba hatua ya waziri huyo mkuu ya kusitisha vikao vya bunge ni kinyume cha sheria.
Ona maoni
Facebook Forum