Duniani Leo September 23, 2019
Wanafunzi nane wa shule ya msingi ya Precious Talent, jijini Nairobi, wamefariki baada ya kuangukiwa na jengo la shule.Shirika la madaktari wasiokuwa na mpaka – MSF, limeshutumu shirika la afya duniani WHO, kwa kutoa chanjo dhidi ya ebola kwa mgao, katika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo
Facebook Forum