No media source currently available
Mwandishi wa habari wa Tanzania Erick Kabendera anayekabiliwa na kesi ya kuhujumu uchumi alifikishwa mahakamani tena leo mjini Dar es salaam na kesi yake kuahirishwa hadi wiki ijayo huku upande wa mashtaka ukieleza kuwa bado upelelezi haujakamilika
Ona maoni
Facebook Forum