Robert Mugabe rais wa kwanza wa Zimbabwe anaacha nyuma hiba ya uongozi wake wa miaka 37. Kuna baadhi wanampongeza kwa kuwa shujaa wa ukombozi na wengine walikuwa wakimshutumu kwa kuharibu uchumi wa taifa ambalo liliwahi kuwa linajitosheleza kwa chakula katika bara la Afrika.
Facebook Forum