Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumanne, Januari 26, 2021 Local time: 08:56

Madereva wa magari makubwa yagoma Mali


Madereva wa magari makubwa yagoma Mali
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:12 0:00

Zaidi ya malori elfu moja yakiwa yamepakia bidhaa za biashara yamekwama katika njia zote kuu za kuingia mji mkuu wa Mali wa Bamako kwa siku ya tano mfululizo hii leo kutokana na mgomo ulioitishwa na madereva wa malori kulalamika dhidi ya hali mbaya ya barabara za nchi hiyo.

XS
SM
MD
LG