No media source currently available
Polisi nchini Zimbabwe wametumia virungu na gesi ya kutoa machozi kuwatawanya waandamanaji wanaopinga serikali, katikati mwa Harare. Na Israel imebadilisha msimamo kuwahusu wabunge wanawake wawili wa Marekani ambao waliwazuia kuingia nchini humo.
Ona maoni
Facebook Forum