Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Januari 30, 2023 Local time: 05:21

Hali bado sio shwari Hong Kong


Hali bado sio shwari Hong Kong
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:06 0:00

Shughuli za usafiri zimerejea katika hali ya kawaida katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Hong Kong, baada ya maafisa wa kutuliza ghasia kukabiliana na waandamanaji wanaotaka mabadiliko ya kidemokrasia ambao walitatiza shughuli katika uwanja huo kwa siku mbili mfululizo.

XS
SM
MD
LG