No media source currently available
Mji wa Saint Louis nchini Senegal ni makazi ya vizazi vya wavuvi ambao wanasema hawajui njia yeyote nyengine ya kuishi. Lakini kuongezeka kwa viwango vya maji ya bahari na sheria mpya za kimataifa zinawalazimu kubadili jinsi wanavyo fanya kazi
Ona maoni
Facebook Forum