Mfumo wa huduma za matumizi ya fedha kwa simu kutumika Sudani ya Kusini
Makampuni ya teknolojia ya Sudan Kusini yameanzisha mfumo wa kwanza kabisa wa kutuma pesa kwa simu ya mkononi huduma hiyo inajulikana kama M-GURUSH. Huduma hiyo inawezesha wateja kulipia bidhaa na huduma zingine nchini kote, inafanya kazi kama mitandao ya Kenya nan chi zingine za Africa
Facebook Forum