Upatikanaji viungo

Breaking News

Mkenya aliyepoteza familia kwenye ajali ya ndege azungumza na VOA


Mkenya aliyepoteza familia kwenye ajali ya ndege azungumza na VOA
please wait
Embed

No media source currently available

0:00 0:07:31 0:00

Wanafamilia wa watu waliofariki katika ajali ya ndege ya shirika la ndege la Ethiopia Max 737 walitokea mbele ya kamati ya bunge la Marekani inayochunguza mazingira yaliyosababisha ajali hiyo na kuuwa watu 157. Paul Njoroge aliyepoteza mke na watoto kwenye ajali hiyo alikuwa miongoni mwao.

XS
SM
MD
LG