Rais wa Marekani Donald Trump amewasili Uingereza leo asubuhi katika ziara yake rasmi ya siku tatu. Na Marekani imemelegeza msimamo wake dhidi ya Iran baada ya kutangaza mwishoni mwa wiki kuwa mazungumzo na viongozi wa taifa hilo la kiislamu bila ya masharti yeyote