No media source currently available
Mataifa ya Afrika mashariki yanapanga kupiga marufuku bidhaa zote za kubadilisha rangi ya ngozi au kujichubua, zenye kemikali ya Hydro-quinone, na kusababisha matatizo ya afya inapotumika kwa wingi.
Ona maoni
Facebook Forum