Rais wa Marekani Donald Trump amemshinkiza waziri mkuu wa Japan Shinzo Abe kumaliza tofauti za kibiashara zilizopo kati ya nchi hizo mbili. Na Mataifa ya Afrika mashariki yanapanga kupiga marufuku bidhaa zote za kubadilisha rangi ya ngozi au kujichubua, zenye kemikali ya Hydro-quinone.
Facebook Forum