Upatikanaji viungo

Breaking News

Umeme wa mgao wakithiri Zimbabwe


Umeme wa mgao wakithiri Zimbabwe
please wait
Embed

No media source currently available

0:00 0:03:26 0:00

Wananchi wa Zimbabwe wanageukia umeme wa nguvu ya jua baada ya serikali kuanza mgao wa umeme unaodumu kwa muda mrefu kila siku kutokana na ukosefu wa mafuta. Waziri mpya wa nishati nchini humo amewataka raia kuisaidia serikali kutafuta suluhisho la muda mrefu la tatizo hilo.

XS
SM
MD
LG