Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Januari 24, 2021 Local time: 15:43

Bunge kusikiliza nia ya Trump kuimarisha nguvu za kijeshi Mashariki ya Kati


Bunge kusikiliza nia ya Trump kuimarisha nguvu za kijeshi Mashariki ya Kati
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:30 0:00

Baadae wiki hii maafisa wa marekani wanatarajiwa kuwaeleza wabunge juu ya kile kilichosababisha utawala wa Donald Trump kuimarisha nguvu za kijeshi za marekani katika mashariki ya kati, huku ikiamrisha wafanyakazi wasio na kazi za dharura katika ofisi zake za ubalozi wa Irak kuondoka.

XS
SM
MD
LG