Duniani Leo May 13, 2019
Umoja wa mataifa umesema zoezi la kupeleka vikosi vya waouthi kutoka kwenye maeneo muhimu ya bandari huko Yemen limekwenda vizuri kufuatana na mipango iliyokuwepo. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo anafanya ziara katika bara la ulaya. Kituo chake cha kwanza ni Brussels badala ya Moscow
Facebook Forum