No media source currently available
Rais wa Sri Lanka Maithripala Sirisena, amewaomba radhi familia za na waliopoteza ndugu wakati mambomu ya kujitoa mhanga yalivyoripuka na kuuwa watu 290 na kujeruhi wengine 500 wakati wa sala ya pasaka.
Ona maoni
Facebook Forum