Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Juni 22, 2024 Local time: 18:01

Waandamanaji Sudan wapinga serikali ya muda


Waandamanaji Sudan wapinga serikali ya muda
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:55 0:00

Wanaharakati wa Sudan wamepinga uamuzi wa Waziri wa Ulinzi kuunda serikali ya mpito kwa kipindi cha miaka miwili.

Wanaharakati hao wametoa wito watu kuendelea kuandamana siku ya Jumamosi kushinikiza mageuzi kamili ya kidemokrasia. Mwandishi wa VOA, Aida Issa, amezungumza na mkazi wa Khartoum Sudan, Haji Mohamed.
XS
SM
MD
LG