Mwanasheria mkuu wa marekani William Barr, amesema uchunguzi uliongozwa na Robert Mueller huakuonyesha ushahidi wa rais Donald Trump kushirikiana na Russia katika kampeni za uchaguzi wa mwaka 2016. Polisi wa kutuliza ghasia wa Comoros wametawanya maandamano ya upinzani mjini Moron.
Facebook Forum