No media source currently available
Mamia ya raia wa Sudan wamefanya maandamano katika mji mkuu na miji mingine Jumapili kwa lengo la kupinga tangazo la serikali kwamba imetenga dola milioni 300 kwa ajili ya mikopo ili kutatua mzozo wa kiuchumi uliosababisha ghasia.
Ona maoni
Facebook Forum