Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Januari 16, 2021 Local time: 21:46

Mashoga : Uamuzi wa kihistoria kwenye mahakama ya Kenya


Mashoga : Uamuzi wa kihistoria kwenye mahakama ya Kenya
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:11 0:00

Wapenzi wa jinsia moja na waliobadili jinsia hapo kesho wanatarajia uamuzi wa kihistoria kutoka mahakama nchini kenya iwapo itapiga marufuku au la ndoa ya jinsia moja .Nchini Kenya ndoa ya jinsia moja ni hatia na kifungo chake huwa miaka 14 jela.

XS
SM
MD
LG