No media source currently available
Juhudi za uokozi zinaendelea katika mji wa Queensland baada wakuu wa mji huo kufungulia bwawa kubwa la maji kwa hofu ya kufurika na kufunja kingo za bwawa hilo. Maji hayo yalijaaa baada ya mji huo kupata mvua kubwa kwa siku kadhaa.
Ona maoni
Facebook Forum