No media source currently available
Mashua iliyotengenezwa na kandambili yaanza safari ya kwenda Zanzibar ikitoke Mombasa. Mashua ambayo imeweka historia ya kuwa mashua ya kwanza kutengenezwa na kandambili inatarajiwa kufika Unguja mapema mwezi ujao.
Ona maoni
Facebook Forum