Nchini Tanzania Mahakama kuu ya Dar es Salaam leo imeahirisha kesi ya kupinga muswada wa sheria ya vyama vya siasa iliyowasilishwa na wanasiasa wa upinzani Zitto Kabwe, Salim Bimani na Joran Bashange baada ya upande serikali kutaka kesi hiyo itupiliwe mbali.
Facebook Forum