Duniani Leo January 10, 2019
Tume ya uchaguzi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo SENI imemtangaza kiongozi wa upinzani Felix Tshisekedi, kuwa rais mteule wa Congo, aliyeshinda nafasi ya pili ni Martin Fayulu amesema hajaridhishwa na matokeo hayo. Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Mike Pompeo yuko nchini Mirsi kwa ziara
Matukio
-
Januari 25, 2023
Mapigano makali bado yanaendelea DRC
-
Januari 24, 2023
Watu kadhaa wauawa katika mashambulizi ya bunduki California
-
Januari 20, 2023
AU yatoa wito kwa mataifa ya Afrika kuwekeza kwa pamoja
Facebook Forum