Rais Donald Trump atetea uamuzi wake wa kutaka kuondoa majeshi yake nchini Syria, tofauti na mipango ya awali, sasa wataondoka taratibu. Na maelfu ya wanawake katika jimbo la kusini mwa India la Karala walitengeneza ukuta wa kushikana mikono kupinga unyanyasaji wa kijinsia
Facebook Forum