No media source currently available
Maandamano yamefanyika katika maeneo ya Butembo, Beni, Goma na Bunia Mashariki mwa Congo yakipinga uamuzi wa tume ya uchaguzi wa kusongeza mbele siku ya kupinga kura katika maendo hayo kutokana na usalama na ugonjwa wa Ebola.
Ona maoni
Facebook Forum