Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Februari 01, 2023 Local time: 11:58

Cohen asema kwamba Rais Trump alijua malipo ya kunyamazisha wanawake wawili ni kinyume cha sheria

Cohen asema kwamba Rais Trump alijua malipo ya kunyamazisha wanawake wawili ni kinyume cha sheria
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:44 0:00

Rais wa marekani Donald trump alielekeza kufanyika kwa malipo ya kunyamazisha wanawake wawili wakati wa kampeni ya urais mwaka 2016 na alijua kwamba malipo hayo ni kinyume cha sheria, wakili wake wa zamani Michael cohen amesema katika mahojiano ya televisheni.

XS
SM
MD
LG