Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Januari 30, 2023 Local time: 05:36

Maseneta wamepitisha azimio la kusitisha msaada wa kijeshi Saudi Arabia

Maseneta wamepitisha azimio la kusitisha msaada wa kijeshi Saudi Arabia
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:24 0:00

Maseneta wa bunge la Marekani wameamua kupitisha azimio la kusitisha msaada wa kijeshi wa Marekani unaotumiwa na Saudi Arabia katika vita vyake nchini Yemen.

XS
SM
MD
LG