Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Machi 28, 2024 Local time: 21:04

Maandalizi ya uchaguzi yaendelea vyema Congo- Tume ya uchaguzi


Maandalizi ya uchaguzi yaendelea vyema Congo- Tume ya uchaguzi
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:29 0:00

Tume huru ya uchaguzi nchini Congo imesema kuwa maadalizi ya uchaguzi yanaendelea kama yalivyopangwa, na kuwataka wananchi kujitokeza kupiga kura Desemba 23 mwaka huu.

XS
SM
MD
LG