IMF: Nchini za Sahara zinahitajika kuongeza kiwango cha ajira
Shirika la fedha la kimataifa IMF, limesema kwamba nchi zilizo katika jangwa la Sahara zinahitajika kuongeza kiwango cha ajira mara mbili Zaidi ya sasa na kufikia nafasi za kazi milioni 20 kila mwaka kwa mda wa miongo miwili ijayo ili kuweza kutoa nafasi kwa idadi ya vijana inayoendelea kuongezeka.
Facebook Forum