No media source currently available
Mkutano wa kamati ya kimataifa ya Olimpik umefunguliwa leo mjini Tokyo, Japan na rais wake Thomas Bach. Mkutano huo unatarajiwa kuwasilisha ripoti ya shirika la kukabiliana na matumizi ya dawa za kuchochea misuli katika michezo na mengi mengine
Ona maoni
Facebook Forum