Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Februari 09, 2023 Local time: 14:41

May alijibu maswali kutoka kwa wapiga kura kuhusu makubaliano ya Brexit


May alijibu maswali kutoka kwa wapiga kura kuhusu makubaliano ya Brexit
please wait

No media source currently available

0:00 0:01:12 0:00

Waziri mkuu wa uingereza Theresa May anasema alikuwa na mazungumzo mazuri na waziri wa mazingira Michael Gove kufuatia uvumi kwamba huenda akaungana na mawaziri wengine wawili na kujiuzulu kutokana na mgogoro wa Brexit.

XS
SM
MD
LG