Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Februari 05, 2023 Local time: 07:30

Uhispania yaipita Italia kwa kupokea wahamiaji kutoka bala la Afrika.


Uhispania yaipita Italia kwa kupokea wahamiaji kutoka bala la Afrika.
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:50 0:00

Uhispania mwaka huu imeipita Italia kwa kupokea wahamiaji wanaopitia nchi hiyo kuingia katika bara la ulaya. Wahamiaji hao hutumia miji ya Ceuta na Malilla ambayo njia ambayo hutumiwa kwa miaka kadhaa.

XS
SM
MD
LG