Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Mei 26, 2024 Local time: 10:57

Saratani ya matiti Kenya yaongoza katika vifo kuliko saratani nyingine


Saratani ya matiti Kenya yaongoza katika vifo kuliko saratani nyingine
please wait

No media source currently available

0:00 0:07:30 0:00

Mwezi October ni kipindi cha kuhamasisha wanawake kuhusu saratani ya matiti. Nchini Kenya Saratani ya matiti ni ya kwanza kati ya aina ya saratani zinazo sababisha vifo kwa asilimia 23, ikifuatiwa na saratani ya kizazi kwa asilimia 20 na ile ya korodani ikiwa ya tatu kwa asilimia 9.

Inakadiriwa kuwa asilimia 7 ya vifo nchini kenya kila mwaka vinatokana na
ugonjwa wa Saratani .

Mwandishi wa VOA Swahili Amina chombo ana ripoti kuhusu mwanamke ambaye
kwa miaka minane amekuea akitibiwa kutoka saratani moja hadi nyengine .

Takwimu zinaonyesha kuwa kwa kila wanawake laki moja, 34 wana saratani ya
matiti huku asilimia 70 hadi 80 wakigunduliwa kuugua ugonjwa huo ukiwa katika daraja ya nne.
XS
SM
MD
LG