Duniani Leo October 16, 2018
Maafisa wa usalama wa Uturuki wamaliza waruhusiwa kuingia ubalozi wa Saudia Arabia nchini humo, ambako walikuwa wakifanya upelelezi zaidi ya masaa kumi kuhusu kupotea kwa mwandishi wa habari Jamal Khashoggi ambaye alitoweka baada ya kuingia ubalozi huo. Kenye West amzawadia Museveni viatu.
Facebook Forum