Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Mei 18, 2024 Local time: 04:11

Benki ya Dunia kusaidia dola bilioni 1.4 sekta ya elimu Tanzania


Benki ya Dunia kusaidia dola bilioni 1.4 sekta ya elimu Tanzania
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:47 0:00

Benki ya Dunia (WB) imesema itatoa dola bilioni 1.4 kusaidia kuboresha sekta ya elimu nchini Tanzania.

Mkurugeni mkazi wa benki hiyo nchini Tanzania, Bella Bird, alikutana na Rais John Magufuli katika ikulu ya nchi hiyo Jumanne.
Profesa Joyce Ndalichako akizungumza na Mwandishi wa Sauti ya America Sunday Shomari...
XS
SM
MD
LG